Kutana na Kicharazio cha kuvaa mkononi(Wearable Keyboard)

Kadri siku zinavyoenda wataalamu mbalimbali wa Teknolojia wamejitahidi kuvumbua mambo mapya siku hadi siku.

Sasa kutana na Kicharazio (Keyboard) unayoweza kuvaa mkononi na kuitumia sawia katika uandishi katika Program za Simu pamoja na Kompyuta.

Mtumiaji anapaswa kujifunza jinsi ya kubadili alama na kufuata hatua za uandishi ili kufanikiwa lengo alilolenga mtumiaji.

Kwa habari nyingi za Kiteknolojia usikose kutembelea Tovuti yetu kwa habari nyingi zaidi kuhusu Sayansi na Teknolojia.

Toa maoni kupitia;

Instagram (@kagutta)

WhatsApp (Business Account)

Leave a comment